TAARIFA KUTOKA KWA BARAZA LA MAABARA NCHINI.

TAARIFA KUTOKA KWA BARAZA LA MAABARA NCHINI.

Chuo Kikuu Kishiriki cha Mt. Fransiko – Ifakara, kimepokea taarifa kutoka Baraza la Maabara Nchini, kwamba wanafunzi wote wa Astashahada (Certificate) na Stashahada (Diploma) waliomaliza kuanzia mwaka wa masomo 2015/2016 na 2016/2017 kufika Chuoni kufanya Mtihani wa kusajiliwa tarehe 6 hadi tarehe 8 mwezi wa tatu 2018.

Tafadhali, bofya kitufe chini kupakua nyaraka kwa maelezo zaidi.