TANGAZO KWA WANAFUNZI WOTE WALIOCHAGULIWA KUJIUNGA NA CHUO KIKUU CHA MTAKATIFU FRANSISKO KATIKA KOZI ZA UDAKTARI WA BINADAMU, UFAMASIA, NA MAABARA

CHUO KIKUU CHA MT. FRANSISKO KINAPENDA KUWATANGAZIA WAFUNZI WOTE WALIOCHAGULIA KUJIUNGA NA KOZI ZA DIPLOMA YA MAABARA NA UFAMASIA KWAMBA USAJILI UNAENDELEA NA CHUO KIMEJIPANGA VIZURI KUWAPOKEA WANAFUNZI WAPYA. USAJILI ULIANZA TAREHE 16/11/2020 KWA KOZI ZA DIPLOMA NA UTAENDELEA HADI TAREHE 15/12/2020.

USAJILI KATIKA KOZI YA UDAKTARI WA BINADAMU UTAANZA TAREHE 23/11/2020.

TAFADHALI WASILIANA NA UONGOZI WA CHUO KWA MAELEZO ZAIDI.

 

KARIBUNI SANA